• LYRICS • view
Intro(Benachi):
Yo Alex, Benachi,
Na Kaberere,
Sawa Sawa,
Verse 1(Benachi):
Usione Nimechakaa, Unitilie Dharau,
Mimi Binadamu, Uuuh Umesahau,
Unaishi Kwa Dhamani, Ninaishi Kwa Imani,
Mbele Zako Mimi Sina Haki,
Mbele Zake Mimi Ni Mwenye Hadhi, iii,
Fahamu Kuwa Mola Ndiye Aliyeniumba Mimi Na Wewe,
Fahamu Kuwa Mola Ndiye Aliyeniumba Mimi Na Wewe, Eh, Eh,
Hook(Benachi):
Mi Ni Mwanake, Usiku Nitalala,
Mbele Zake Maulana, Sote Tuko Sawa,
Mi Ni Mwanake, Usiku Nitalala,
Mbele Zake Maulana, Sote Tuko Sawa,
Verse 2(Kaberere):
Ulinipuuza Mie, Ati Sifai Kuwa Nawe,
Uliniona Mie, Ati Hatia Kula Nawe,
Sahani Moja, Tulipotiliwa Chakula, ah, ah,
Nyumba Moja, Tulipofaa Kuishi Pamoja, Ah, Ah,
Wema Wake, Taji La Upendo Juu Yangu,
Ndani Yake Vikubwa Na Uoga Vyote Hupewa Kimya...
CHORUS...
Bridge(Benachi):
Ulinipuuza Mie, Oh, Oh, Oh,
Sahani Moja, Oh, Oh, Oh,
Nyumba Moja, Oh, Oh, Oh,
Oh, Oh, Oh,
CHORUS...(x4)
Outro(Kaberere):
Usiku Nitalala, Mbele Zake,
Mi Ni Mtoto Wake, Mi Ni Toto Lake,
Usiku Nitalala, Nitangorota,
Nitajifunika Gubi Gubi, Nitangorota,
Sitaamka,
Sababu Wewe Haunipendi, Nitalala Sana,
Mimi Mwanake, Chako Ni Changu,
Oooh, Sote Tuko Sawa,
Uploaded on Oct 29, 2018
Benachi ft Kaberere - Mwanake - music Video
Share this Video
- 457
Views
Comment on "Benachi ft Kaberere - Mwanake video "
This Week's Top Song
Boney M Christmas Album |
Boney M
Downlod Song
Play Song
Trending
RECENT SEARCHES (0)
VIEW ALLFeatured Song
Twalibaddewa |
Grace Nakimera
Downlod Song
Play Song