• LYRICS • view
Sauti yako yasikika juu ya maji
Sauti yako ni kama radi
Sauti yako baba, sauti ina nguvu
Sauti yako mwenyezi imejaa fahari
Ukinena eh Mungu ayala wanajifungua
Ukinena eh Mungu misitu unafagia .
Baba nguruma eh, nguruma eeeeh
Nguruma eeh nguruma eeh
Baba nguruma eh, nguruma eeh
Sauti usikike, nguruma eeh
Baba nguruma eh, nguruma eeh
Nguruma eeh, nguruma eeh
Tuponye tuokoke, nguruma eeh
Sauti usikike, nguruma eeh .
Hekaluni tuseme, utukufu kwa Mungu
Mitaani tuimbe, utukufu kwa Mungu
Redio na mitandao, utukufu kwa Mungu
Acha iwe acha iwe, utukufu kwa Mungu
Hekaluni tuimbe, utukufu kwa Mungu
Mitaani tuseme, utukufu kwa Mungu
Redio na mitandao, utukufu kwa Mungu
Na iwe na iwe leo, utukufu kwa Mungu .
Baba nguruma eeh, Nguruma eeh
Watu wako tukusikie, Nguruma eeh
Sauti usikike, nguruma eeh
Baba nguruma eh, nguruma eeh
Eh Mungu nguruma eeh, nguruma eeh
Eh Mungu nguruma nguruma, nguruma eeh .
Uploaded on Oct 09, 2018
Eunice Njeri - Nguruma - music Video
Share this Video
- 935
Views
Comment on "Eunice Njeri - Nguruma video "
This Week's Top Song
BEST OF PR.WILSON BUGEMBE |
GMP Mixes
Downlod Song
Play Song
Trending
RECENT SEARCHES (0)
VIEW ALLFeatured Song
Twalibaddewa |
Grace Nakimera
Downlod Song
Play Song