• LYRICS • view

paaparaparia,
ilikuwa ndo mchezo
bara kanisa sunday,
paapara parira,
tulisali pamoja
bara shule ni monday x2

nakumbuka ulipenda chakacha,
na mimi nilipenda bongo,
ulimsikiza farida ,
na mimi ni rose muhando x2

ndoto yako ikawa kwenda ng'ambo mmmh
nami yangu ikawa kwenye gospel mmmh x2

maria eh oh
umebadilika,
jana si kama leo ,umebadilika,x2
maria aah

paaparaparia,
ilikuwa ndo mchezo
bara kanisa sunday,
paapara parira,
tulisali pamoja
bara shule ni monday x2

kutoka kenya dar salama ,
nimekusaka tanzania ,
kwetu pwani hadi kampala ,
uganda nikaingia,
bila budi unatesa na urembo,
mengi pia sigara mateso,
bila budi unatesa na urembo,
umesahau kuishi malengo,

maria eh oh
umebadilika,
jana si kama leo ,umebadilika,x2
maria aah

uh kanisani,uh enda nyumbani,
kumbuka mama githeri,
yuu yule jirani

maria eh oh
umebadilika,
jana si kama leo ,umebadilika,x2
maria aah

kumbuka ndoto zetu ,tukiwa mathare,
tukiwa gheto,ah eh eastlando
nananah naah eh rudi nyumbani eh
kwa yesu nyumbani eh

Uploaded on Nov 17, 2016

Bahati - Maria - music Video

Share this Video

  • 884
  • Views

Comment on "Bahati - Maria video "

  • LIKE GOSPEL MUSIC ON FACEBOOK :