• LYRICS • view
Kuna vita Inaendelea ndani, ya huyu Danny/ baina ya neno la Mungu na la mwovu shetani
Yaani niliumbwa ama mimi ni cousin ya nyani/ niamini kazi ya daddy ama nivae majani?
Niko, kwa hii fani seriously? Watawika ni ki sing? / ama nita deny the cross juu ya bling/
Mimi ni mwili tu or I’m I a spiritual being/ siri ni akili tu or is that my Achilles heel?
Should I set my mind on heaven or on Beverly Hills/ according to the Bible these are beggarly things
I wake early to get down on my knees coz I don’t have the ability to provide for my needs
He feeds and clothes me/ guides n holds me/ don’t worry about a thing that’s what He told me
Nime nearly O.D twice/ na lace up lines tight like O.B Trice (yikes!)
Chorus:
Niko huru kama ndege/ juu angani/ nina Yesu ndani nina Yesu ndani
Niko huru kama ndege/ juu angani niogope adui mgani niogope adui mgani?
Nikona Yesu ndani ijapokuwa si stahili kuwa hai/ nime survive wasee wengi waki die na if I’m still alive
This means there’s a very special purpose for my life/I’m chilling for my wife, siko single
I’m fly like an eagle/ although, mitumba zimenifika hadi kwa shingo
Naamini tayari utaamini mwisho ya hii wimbo/ I’ve been down in the gutter, it’s my time to shine
The Lord is on my side He changed my water into wine/ and umm... About my sins, Jesus paid the fine
I’m just a branch man He’s the true vine/ I’m in the light so effortlessly I just shine
Walipenda kuniweka chini ka chizi nikapiga tizi/ now I’m grown like Lupita Nyongo I’m just fine
N I’m justified so I’m satisfied with, having Christ on the inside/ I don’t even have to try
(Chorus)
Mwenye haki ataishi kwa imani/ mwenye dhambi ataishi aki imagine kuwa cunning ni kipaji
Mwenye haki Mwenyezi Mungu anamuhifadhi/ mwenye dhambi akinusurika ama apokee mema ni bahati ka../kula kitoweo cha nyama na chapati wakati wa.. kiangazi kiongozi tia kazi
Siwezi stay down/ I hope by now ni wazi/ niko na Yesu ndani we unaona tu mavazi
Nina marafiki duniani kila fasi/ na smile kila verse(i) kama Brenda Fasi
Hii si ku foka hii si kuimba kwa kasi/ hii ni kukariri shairi dhahiri kwa ustadi
Umahiri upi unapatikana bila ku study/ ndo twadai free education kila wardy ama ni kila county?
Yaani amani kila country/ Samlyonge, that was killer than Bounty
Uploaded on Aug 13, 2016
Samlyong - Huru - music Video
Share this Video
- 213
Views
Comment on "Samlyong - Huru video "
This Week's Top Song
Abatukuvu |
Dr Mponye
Downlod Song
Play Song
Trending
RECENT SEARCHES (0)
VIEW ALLFeatured Song
Twalibaddewa |
Grace Nakimera
Downlod Song
Play Song