"MARIA" From BAHATI
paaparaparia,
ilikuwa ndo mchezo
bara kanisa sunday,
paapara parira,
tulisali pamoja
bara shule ni monday x2
nakumbuka ulipenda chakacha,
na mimi nilipenda bongo,
ulimsikiza farida ,
na mimi ni rose muhando x2
ndoto yako ikawa kwenda ng'ambo mmmh
nami yangu ikawa kwenye gospel mmmh x2
maria eh oh
umebadilika,
jana si kama leo ,umebadilika,x2
maria aah
paaparaparia,
ilikuwa ndo mchezo
bara kanisa sunday,
paapara parira,
tulisali pamoja
bara shule ni monday x2
kutoka kenya dar salama ,
nimekusaka tanzania ,
kwetu pwani hadi kampala ,
uganda nikaingia,
bila budi unatesa na urembo,
mengi pia sigara mateso,
bila budi unatesa na urembo,
umesahau kuishi malengo,
maria eh oh
umebadilika,
jana si kama leo ,umebadilika,x2
maria aah
uh kanisani,uh enda nyumbani,
kumbuka mama githeri,
yuu yule jirani
maria eh oh
umebadilika,
jana si kama leo ,umebadilika,x2
maria aah
kumbuka ndoto zetu ,tukiwa mathare,
tukiwa gheto,ah eh eastlando
nananah naah eh rudi nyumbani eh
kwa yesu nyumbani eh
WRITTEN BY
BAHATI
This Week's Top Song
Yatonda Omuntu |
Nelima Esther
Downlod Song
Play Song
Trending
RECENT SEARCHES (0)
VIEW ALLFeatured Song
Twalibaddewa |
Grace Nakimera
Downlod Song
Play Song

TOP VIDEOS (5)
VIEW ALLMUSIC NEWS (5)
VIEW ALL
Rwanda’s Gospel Sensation Israel Mbonyi Set For Ugandan Concert
Born in the Democr ...
All set for the Pr. Joshua Ssempebwa Live In Worship Experience.
Here's everyth ...
EXODUS UNLOCKS A NEW SONG
Celebrated Gospel ...
Presiding Apostle Dr. Joseph Serwadda
Apostle Dr. Joseph ...
Singing Secular Music Means Serving The Devil (Wake Up Call)
King Of Radio Wesl ...MUSIC ARTICLES (5)
VIEW ALL
Retaliation Movie Screening | A Powerful Exploration of Abortion and Human Rights
On May 26th, 2024, ...
Unveiling a new Online Radio | Big Sounds Radio
📻 RADIO is an a ...
A couple of Gospel Artists stand in the Gap
Help or wanting to ...
And behold it's Spirit TV a new Christian television
And behold it' ...
Comment on "Bahati - Maria Lyrics "